Picha ya Pamoja ya Watumishi, Waalikwa na Mgeni rasmi wa Mahafali ya 20 mara baada ya kumaliza hafla ya Mahafali katika Viwanja vya karimjee.
Wanafunzi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam wakifanya mafunzo kwa vitendo kwenye karakana
Baadhi ya Wahitimu Wakitunukiwa Stashahada zao kwenye mahafali ya 20 ya DMI katika Viwanja vya Karimjee.
Picha ya pamoja ya Mabaharia wa Kike wa DMI wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake yaliyofanyika kitaifa Arusha machi 8, 2025
Wanafunzi wa DMI wakiwa kwenye maafunzo ya Mbinu ya uokozi binafsi (personal survival technique) kwa vitendo, kozi ambayo ni ya lazima kwa kila Baharia.
Katika picha ni Mtambo wa Kisasa wa Crane Simulator wa kufundishia kozi ambazo utendaji kazi wake ni maeneo ya Bandari, Viwandani na Migodini.
Mwanafunzi wa Stashahada ya Uhandisi wa Mafuta na Gesi (Basic technician Certificate in Oil and Gas Engineering) akiwa katika somo la Mafunzo kwa vitendo ya Kulehemu na Utengenezaji wa Chuma (Welding and metal fabrication)
Kamilisha ndoto zako za Ubaharia na Sekta ya Bahari kwa kupata Elimu na Mafunzo katika Chuo cha Bahari Dar es Salaam
Wavuvi wa Lindi wakipatiwa elimu ya matumizi sahihi ya vifaa vya uokozi wanapokuwa kwenye shughuli za uvuvi na Mtaalamu kutoka DMI
Kuwa taasisi bora katika mafunzo, utafiti na ushauri katika taaluma za baharini na zinazohusiana
Dira
Kutoa mafunzo ya hali ya juu yanayo endeshwa na mahitaji, utafiti na huduma za ushauri katika taaluma za baharini na taaluma zinazo husiana katika ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara na kwingineko