TANGAZO KUHUSU KITUO CHA KUFANYA MITIHANI YA LUGHA YA KIINGEREZA KWA MABAHARIA
Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam Dkt. Tumaini Gurumo (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa PURA Mhandisi Charles Sangweni (kushoto) wakionyesha hati za mashirikiano ya mafunzo ya usalama na kujihami baada ya kusaini katika Hafla iliyofanyika tarehe 13 Machi, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam Dkt. Tumaini Gurumo (wa pili kulia) na mwanasheria wa Chuo na Mkurugenzi Mkuu wa PURA Mhandisi Charles Sangweni (wa pili kushoto) na mwanasheria wa PURA wakisaini hati za mashirikiano yamafunzo ya usalama na kujihami katika Hafla iliyofanyika tarehe 13 Machi, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Mabaharia na wakufunzi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) wakifuatilia mtambo wa kufundishia kwa vitendo " Full Simulator"
Baadhi ya Mbaharia na Wakufunzi wa Chuo cha Bahari katika picha ya pamoja mara baada ya kukamilika kwa mahafali ya 19 yaliyofanyika tarehe 0/11/2023 kwenye viwaja vya Chuo,DMI
Wahitimu wa Mahafali yA 19 ya Chuo Cha Bahari Dar es Salaam tarehe 30 Novemba 2023
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile (Mgeni Rasmi) akihudhurisha Wahitimu wa Mahafali ya 19 ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam tarehe 30 Novemba 2023.
Mhandisi Mkuu wa Meli na Mkufunzi wa DMI, Deism Mlay akitoa ufafanuzi wa elimu na mafunzo yanayotolewa chuoni kwa wanafunzi katika maonesho ya Elimu ya Vyuo Vikuu Pemba 2023.
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Suleiman Makame akihutubia washiriki wa kongamano la pili la uchumi wa buluu lililofanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa JNICC
Kuwa taasisi bora katika mafunzo, utafiti na ushauri katika taaluma za baharini na zinazohusiana
Dira
Kutoa mafunzo ya hali ya juu yanayo endeshwa na mahitaji, utafiti na huduma za ushauri katika taaluma za baharini na taaluma zinazo husiana katika ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara na kwingineko